MSINGI YA UZALISHAJI WANYAMA

Je unafahamu, ufugaji na uzalishaji wa mazao unaweza kufanyika kwa Pamoja?

Mijadala yote miwili inaweza kutumika kama mbinu jumuishi ili kuanzisha mzunguko wa usimamizi wa virutubisho kama kanuni ya kilimo hai. Vilevile uuzaji wa uuzaji wa samaki wabichi, nyama, maziwa na asali ili kuongeza kipato. 

Kozi hiyo inatoa mafunzo ya afya ya wanyama, malisho, makazi, na uzalishaji wa jumla.

Utakayo Jifunza

Utajifunza yafuatayo;

  • Afya ya Wanyama
  • Mimea dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa mbalimbali ya Wanyama
  • Malisho na makazi ya mifugo

Malengo ya kozi

Malengo ya kozi

  • Washiriki kufuga wanyama na kuwalisha vizuri
  • Washiriki kuongeza kipato kupitia uzalishaji wa maziwa na asali, kuku, nguruwe na Samaki
  • Washiriki kuongeza uzalishaji mashambani kupitia mbinu jumuishi ya mifugo na virutubishi

Courses 2023

  • 15 Julai – 19Jul2024
  • 16 Sept - 20Sept2024

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates contact us as indicated below.

Training Fee: TZS 350,000 per participant

(NOTE: everything else is the same as in the first course)

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
MSINGI YA UZALISHAJI WANYAMA
15 Julai– 19 Julai 2024
16 Sept - 20 Sept 2024
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.