KILIMO HIFADHI

Endeleza shughuli zako za kilimo huku ukilinda mazingira ndio kusudi la mafunzo haya.

Kilimo hifadhi hutumia mbinu za kilimo na uboreshaji wa udongo ili kuepuka mmomonyoko na uharibifu wa udongo, kuboresha na kulinda bioanuwai na maliasili Pamoja na maji na hewa.

Utakayo Jifunza

Utajifunza yafuatayo;

  • Kilimo hifadhi: hatua za utekelezaji
  • Kilimo cha kontua
  • Mazao funika, mzunguko wa mazao 

Malengo ya kozi

Malengo ya Kozi;

  • Washiriki wanaongeza mavuno yao kupitia mafunzo ya usimamizi wa mazao waliojifunza 
  • Washiriki wanachangia katika uhifadhi wa mazingira badala ya kudhuru 
  • Washiriki huboresha rutuba ya udongo na kuzuia mmomonyoko wa udongo.

Course 2023

  • 18th September – 22nd September 2023 — Course ID: CA 011

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates, contact us as indicated below.

Training Fee: TZS 300,000 per participant

(NOTE: everything else is the same as in the first course)

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
KILIMO HIFADHI
18th September – 22nd September 2023 — Course ID: CA 011
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.