UZALISHAJI WA MAZAO YA VIUNGO KWA MFUMO WA KILIMO HAI

Mahitaji ya mazao ya viungo ya kilimo hai yanazidi kuongezeka duniani kote na yanatarajiwa kuongezeka maradufu ndani ya miaka mitano ijayo.

Mazao ya viungo yana faida kubwa kulinganisha na mazao mengine ya kilimo hai, kwa wakulima hii inawahamasisha sana. Mafunzo haya yana waandaa washiriki kukidhi viwango vya masoko ya mazao ya kilimo hai na kuzalisha mazao kama mdalasini, pilipili manga, karafuu, binzari manjano na tangawizi.


Utakayo Jifunza

Utajifunza yafuatayo;

  • Uandaaji wa kitalu cha miche ya viungo na usimamizi
  • Madawa na mbolea za kilimo hai kwa ajili ya viungo
  • Kilimo mseto cha mazao ya viungo shambani

Malengo ya kozi

Malengo ya Kozi;

  • Washiriki kuongeza uzalishaji wa mazao ya viungo kupitia mbinu za kilimo hai 
  • Washiriki kuzalisha mazao bora ya viungo yenye viwango vya juu kupitia ujuzi huu
  • Washiriki kuboresha rutuba ya udongo na kuzuia mmomonyoko wa udongo kupitia kilimo mseto na mazao kama mbogamboga

Course 2023

  • 23 Septemba – 2Septemba 2024 — Course ID: SPICE 007
  • 2 – 2024— Course ID: SPICE 008

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates contact us as indicated below.

Training Fee: TZS 400,000 per participant

(NOTE: everything else is the same as in the first course)

STAY TUNED: Training of Trainers – A Cost-Efficient Solution

We are planning to establish a training of trainers-course on organic spice production. Our goal is to build up your capacity to work in the field and give your best to your participants, learn how to prepare, conduct, and evaluate sessions, and make your training compulsive and participatory. Let us help you realize your full potential as a trainer or facilitator. 

Subscribe to our newsletter to stay updated!

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
UZALISHAJI WA MAZAO YA VIUNGO KWA MFUMO WA KILIMO HAI
23 Septemba– 27 Septemba 2024
25 NovembA – 29 Novemba 2024
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.