UJASIRIAMALI NA KILIMO BIASHARA

Je, una nia ya kuanzisha biashara ya kilimo yenye mafanikio?

Ikiwa ndio, katika kozi yetu utapata maarifa na ujuzi muhimu ili kukuza mipango ya biashara na kuhakikisha uzalishaji wa shamba lako na mipango ifaayo ya usimamizi wa shamba. Baada ya siku tano za mafunzo unaweza kukuza biashara yako mwenyewe na uwezekano wa ukuaji na ufadhili.


Utakayo Jifunza

Utakayo Jifunza;

  • Kuanda mpango wa biashara
  • Masoko
  • Kukuza kipato na kuendesha biashara

Malengo ya kozi

Malengo ya kozi

  • Washiriki wanatawala masoko kwa kutumia mikakati mizuri ya masoko
  • Washiriki wanaboresha mashamba yao kwa kiwango cha kitaaluma au kuanzisha biashara zao za kilimo.
  • Washiriki wanaboresha ujuzi wao wa kifedha na kutumia rekodi za biashara pamoja na data ya uhasibu kufanya maamuzi yakinifu ya biashara

Course 2024

  • 2 Sept – 6Sept 2024 — Course ID: EAD 003

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates contact us as indicated below.

Training Fee: TZS 300,000 per participant

(NOTE: everything else is the same as in the first course)

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
UJASIRIAMALI NA KILIMO BIASHARA
4th September – 8th September 2023 — Course ID: EAD 003
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.