Misingi ya kilimo hai

Elewa misingi ya kilimo hai

Kwa zaidi ya miaka saba ya uzoefu katika kilimo-hai, tuna mengi ya kufundisha. Kwa kutumia mbinu jumuishi inayochanganya uzalishaji wa mazao na ufugaji na misitu tunaweza kukusaidia kudhibiti shamba lako kwa ufanisi zaidi.

Utakayo Jifunza

Utajifunza yafuatayo;

 • Utangulizi kuhusu kilimo Hai
 • Kuutambua udongo wako
 • Kuboresha rutuba ya udongo
 • Udhibiti wa visumbufu

Malengo ya kozi

Malengo ya Kozi;

 • Kuwezesha washiriki kusimamia mashamba yao kwa ufanisi zaidi
 • Washiriki kuongeza uzalishaji wa mazao yao kwa kutumia mbinu endelevu.
 • Washiriki kuhuisha na kutunza rutuba ya udongo wa mashamba yao.
 • Washiriki kujifunza mbinu za kudhibiti visumbufu zisizo na madhara kwa mazingira

This comprehensive course includes classroom tuition, practical training in the plot, and a field visit to spice farmers in the Uluguru Mountains.

Courses 2023

 • 24Jun – 28 Jun 2024
 • 7 Okt – 11 Okt 2024
 • 18 Nov – 21 Nov 2024 Course ID: OA 035

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates contact us as indicated below.

Training Fee:

TZS 250,000 per participant, the fee includes training, materials, accommodation, meals at the training center, and transport to and from the training center (from Morogoro city).

Facilitators:

SAT Facilitators

Venue:

Farmer Training Centre in Vianzi (approx. 20km from Morogoro city)

Apply to:

Sustainable Agriculture Tanzania (SAT), P.O.Box 6369, Morogoro,
+255 (0) 754 925560, +255 (0) 655 925560 info@kilimo.org

Application Forms:

Use the link(s) below to download the application form(s)

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
Misingi ya kilimo hai
24 Jun – 28 Jun 2024
7 Okt – 11 Okt 2024
18 Nov – 21 Nov 2024
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.