MAFUNZO KWA WAKUFUNZI WAWEZESHAJI

Je! unataka kuwa mwezeshaji imara katika kilimo?

Mafunzo haya yanalenga kukuza uwezo wa mwezeshaji, jinsi ya kuandaa, kuendesha na kutathmini vipindi. Pia utajifunza jinsi ya kufanya vipindi vyako vivutie na viwe shirikishi. Utajifunza jinsi ya kutengeneza majadiliano na kupata mawazo mengi zaidi kutoka kwa washiriki ili kutambua uelewa na mitazamo yao.

Utakayo Jifunza

Utajifunza yafuatayo;

  • Kupangilia somo lako 
  • Mbinu mbalimbali za kuibua fursa na vikwazo
  • Mbinu za uwezeshaji na sanaa ya maswali yenye nguvu

Malengo ya kozi

Malengo ya kozi;

  • Washiriki kuweza kufanya vikao shirikishi na vya kuvutia.
  • Washiriki kuanzisha na kusimamia vikundi kwa muda mrefu.
  • Washiriki kupanga na kubuni kozi na masomo kwa kuzingatia uwezo, ujuzi na mtazamo ili kuwawezesha wanafunzi kutekeleza malengo.

Courses 2023

  • 10th July – 14th July 2023 — Course ID: ToT 012
  • 9th October – 13th October 2023 — Course ID: ToT 013

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates, contact us as indicated below.

Training Fee: TZS 450,000 per participant

(NOTE: everything else is the same as in the first course)

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
MAFUNZO KWA WAKUFUNZI WAWEZESHAJI
10th July – 14th July 2023 — Course ID: ToT 012
9th October – 13th October 2023 — Course ID: ToT 013
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.