MADAWA YA ASILI KWA TIBA ZA BINADAMU

Je! Unajua nguvu ya mimea?

Tanzania ina utajiri mkubwa wa mimea ambayo inaweza kutumika kama dawa asilia. Dk Feleshi kutoka ANAMED Tanzania atatoa mafunzo jinsi ya kutumia mimea hii. Kozi hii inakupa misingi ya ulimaji, uaandaji na utumiaji wa mimea dawa.

Vile vile unaweza kuanzisha biashara yako mwenyewe ya vipodozi.

Utakayo Jifunza

Utajifunza yafuatayo;

  • Uelewa kuhusu mimea dawa mbalimbali
  • Uzalishaji wa madawa asilia yenye uwezo mkubwa
  • Tiba ya magonjwa mbalimbali Pamoja na malaria, kuhara na magonjwa Ngozi

Malengo ya kozi

Malengo ya Kozi

  • Washiriki kuanzisha bustani ya mimea dawa
  • Washiriki kuandaa madawa ya asili wenyewe
  • Washiriki kusaidia familia zao na majirani kwa kuwapa tiba ya asili

Course 2024

  • 11 Nov – 14Nov 2024 — Course ID: NM 006

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates contact us as indicated below.

Training Fee: TZS 400,000 per participant

(NOTE: everything else is the same as in the first course)

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
MADAWA YA ASILI KWA TIBA ZA BINADAMU
11 Nov– 14 Nov 2024
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.