Kilimo hai hatua ya tatu

Kilimo ikolojia hutumia rasilimali za asili ili kwa uzalishaji wa chakula bora na mifugo.

Kilimo ikolojia hutumia rasilimali za asili ili kwa uzalishaji wa chakula bora na mifugo. Ni teknolojia mpya inayojenga mazingira kama ilivyo mfumo endelevu wa uhifadhi wa Bayo anuwai na misitu ambao umekamilika kwa vitu vitatu (madini, viumbe hai na rasilimali hai). Ni mafunzo ya siku 10, yanayojumuisha mbinu bora za uzalishaji, uandaaji na matumizi ya mboji, uandaaji viatilifu asilia kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kirahisi katika mazingira yetu na kwa gharama nafuu.

Washiriki wanafundishwa kuongeza virutubishi vya udongo na jinsi ya kuzalisha chakula bora kwa afya ya mlaji na faida kwa mkulima.


Utakayo Jifunza

Utajifunza yafuatayo;

 • Usimamizi wa udongo kwa mbinu zilizoboreshwa
 • Vimelea: Uandaaji na uzalishaji
 • Kuandaa bokashi na mbolea Hai

Malengo ya kozi

Malengo ya Kozi;

 • Washiriki kutumia mbinu zilizoboreshwa ili kuongeza uzalishaji wa mazao mara mbili au tatu zaidi
 • Washiriki kuandaa udongo kwa uzalishaji na kupunguza athari za hewa ukaa
 • Washiriki kutekeleza waliyo fundishwa kwa gharama za chini kwa kutumia rasilimali asili katika mazingira yao

Techniques you will acquire 

After participating in this training, participants should be able to use many of the following techniques…

 • Supermagro: Cow dung fermented liquid fertilizers enriched with bio-available minerals
 • Bokashi: Fermented semi-decomposed organic amendment
 • Native microbe reproduction: Solid reproduction of local diverse microbes
 • Native microbe activation: Fermented liquid biofertilizer as foliar-soil spray enriched with minerals
 • Biochar/activated biochar: Homemade charcoal
 • Biofertilizer rich in proteins: Fermented liquid as foliar spray rich in organic compounds from blood
 • Apichi: General insect repellent
 • Hydrolate: Biofertilizers of potassium enriched with humic acids
 • Phosphites: Converting phosphate into phosphite from animal bones for several uses
 • Soil assessment: Visual assessment, rice traps, hydrogen peroxide
 • Mineral brews:
  > Ash emulsion: Homemade mineral brew to control aphids, maize heartworm, white fly
  > Lime sulphur brew: Homemade pesticide
  > Sodium bicarbonate: Homemade brew to control mildew, odium among others

Course 2024

 • 25 Nov – 29 Nov 2024— AOA 002

Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates contact us as indicated below.

Training Fee: TZS 450,000 per participant

(NOTE: everything else is the same as in the first course)

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
Kilimo hai hatua ya tatu
25 Nov – 29 Nov 2024
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.